Jumatatu, 23 Dhu al-Hijjah 1442 | 2021/08/02
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Kilio cha Kiulimwengu "Imetosha... Isimamisheni Enyi Waislamu!"

Katika wigo wa kampeni pana ya kiulimwenguni iliyo zinduliwa na Hizb ut-Tahrir, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, ilikuwa katika juhudi hizi za pamoja, usajili wa zaidi ya wabebaji ulinganizi 218, katika zaidi ya nchi 22 kote ulimwenguni, wanaozungumza zaidi ya lugha 15, ili kufikisha ujumbe mmoja kwa Umma wa Uislamu:

"Imetosha... Isimamisheni Enyi Waislamu!"

Jumatano, 19 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu