Wilayah Sudan: Warsha kuhusu Mdororo wa Kiuchumi nchini Sudan, Vyanzo na Suluhisho
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waungaji mkono chama cha Hizb ut Tahrir walikusanyika katika Afisi yake iliyopo Al-Dukhaniyat katika kuunga mkono kuzikataa sera za IMF na kujisalimisha kwa nchi kwa ahadi za mkoloni.