Katika Urasilimali Vita Dhidi ya Ufisadi ni Mwito Mtupu
- Imepeperushwa katika Tanzania
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti ya hivi karibuni ya ukaguzi nchini Tanzania imefichua zaidi kwamba katika mfumo wa kirasilimali unaojifunga na kipimo cha maslahi, kadhia ya kupambana na ufisadi inasalia kuwa maneno matupu bila ya uhalisia wowote hata ingawa baadhi ya watu ndani ya nidhamu hii wanadai kuwa makini katika kupambana nao.