Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Amali na Shughuli wakati wa Kipindi cha Mwezi wa Agosti 2026 M
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ikiendelea kuunywesha Umma kwa fikra na hukmu za Uislamu kuhusu maisha, Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan ilifanya amali nyingiza kithaqafa wakati wa mwezi wa Agosti 2026. Ilituma ujumbe kwa watu mashuhuri, viongozi wa kikabila, na viongozi wa jamii, na kutoa hotuba za kisiasa katika maeneo ya umma, misikitini na masokoni.



