Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 390
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mtego wa madeni ya riba unaosimamiwa na IMF umemaanisha kuwa deni la Pakistan limepanda kutoka Rupia trilioni 10 mwaka 2011 hadi trilioni 40 mwaka 2022.
Ili Kutazama Sehemu za Miezi Iliyopita Bonyeza Hapa
Hizb ut-Tahrir / Sweden iliandaa kampeni kwa anwani “Upandikizaji Usekula: Sera ya Unyambulishaji!”
Ee Mwenyezi Mungu, wasamehe watu wetu wa Gabes na uwe pamoja nao wala usiwe dhidi yao, Ee Mwenyezi Mungu, Ee Mwenyezi Mungu, ujaaliye moto huu uwe baridi na salama kwa watu wetu jijini Gabes.
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa kisimamo mbele ya Bunge la Denmark katika uwanja wa Christiansborg Castle Square cha kulaani mateso ya umwagaji damu ya India dhidi ya Waislamu na unafiki wa serikali ya Denmark.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Wabebaji Dawah Kote Ulimwenguni kwa Ujio wa Idd ul Fitr Iliyobarikiwa 1443 H