Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Mji wa Idlib "Kutoka Idlib ya Kijani Hadi Houran, Kitovu cha Mapinduzi Sisi Tuko Pamoja Nanyi Mpaka Kifo"

Kundi la Wakaazi wa Mji wa Idlib liliandaa kisimamo kwa anwani "Kutoka Idlib ya Kijani Hadi Houran, Kitovu cha Mapinduzi Sisi Tuko Pamoja Nanyi Mpaka Kifo"

Jumatatu, 19 Jumada Al-Akhirah 1442 H sawia na 01 Februari 2021 M

- Kalima ya Ustadh Adel Barghouth (Abu Muhammad) wakati wa kisimamo hicho -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu