Serikali ya Mpito Yaziba Kufeli Kwake na Furaha Kizushi, kwa Uamuzi Usiofaa wa Amerika Ambayo Inalipia Gharama Kubwa kwa Kuupiga Vita Uislamu na Kusawazisha Mahusiano na Umbile la Kiyahudi
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Jana, Wizara ya Mambo ya Nje ya Amerika ilitoa taarifa ikisema: (Sudan imefutwa rasmi kama dola mdhamini wa ugaidi ... nk).