Jumapili, 27 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

“Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo.” [Al-Ahzab: 23]

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon inamuomboleza shahidi Ahmed Saleh Al-Ali, ambaye mauwaji yake yaliothibitika kufanywa na mikono ya serikali ya kihalifu ya familia ya Assad nchini Syria,

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua Kampeni katika Kumbukumbu ya 25 ya Mauwaji ya Halaiki ya Srebrenica: “25 Baadaye: Mafunzo kutoka Srebrenica”

Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serb yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu