Mateso na Ukatili Ndio Silaha Pekee za Kawaida za Warasilimali
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Harakati ya Kiislamu ya Hizb ut Tahrir inakemea vikali mauaji ya kikatili ya Wakili Willie Kimani na watu wengine wawili akiwemo mteja wake Josephat Mwenda. Hiki ni kitendo cha kinyama hususan baada ya miili hiyo mitatu kupatikana imetupwa katika mto huku macho ya mmoja ya miili hiyo yakiwa yamenyofolewa.