Jumanne, 08 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Nidhamu ya Kidemokrasia Inahukumu Kinyume na Aliyoleta Wahyi Mwenyezi Mungu

Nchi hivi sasa inashughulishwa kuhusiana na mwito wa uchaguzi wa wagombeaji wapya katika Baraza la Ummah, baada ya agizo kutoka kwa amiri kuvunjilia mbali baraza la awali na kuitisha uchaguzi mpya ufanyike mnamo Jumamosi, 26/11/ 2016.  Ilhali watu wanashughulika na masuala ya siasa za ndani, tungependa kuwaelekeza kwa masuala muhimu na kuyaweka wazi...

Soma zaidi...

Je, Sheria ya Dhidi ya Ugaidi Haikukusudiwa Kupambana na Uislamu?

Mara tu baada ya kuuwawa kwa wasichana watatu wa Kiislamu, waliokuwa wakishukiwa kushambulia Kituo cha Polisi cha Central jijini Mombasa, kama kawaida tukio hili lilidaiwa ni kupambana na misimamo mikali, licha ya hayo kiuhalisia, ni mbinu iliyo kusudiwa kuihofisha jamii ya Waislamu ndani ya majumba yao wenyewe.

Soma zaidi...

Fahamu ya Utaifa Inafichuka Zaidi

Amri iliyotolewa na hayati Aboud Jumbe, aliyekuwa rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyefariki wiki iliyopita akiwa na miaka 96, ya jinsi mazishi yake yatakavyo fanywa imeonyesha zaidi uovu wa fahamu ya utaifa machoni mwa kila mmoja.

Soma zaidi...

Ziara ya Netanyahu ni ya Maangamivu Ambayo Haistahiki Kufurahikiwa wala Makaribisho: Ni Wewe na Dola Yako Ndio Munao Nuka Harufu ya Damu Zisizo na Hatia za Watu Wasio na Ulinzi Wowote

Waziri Mkuu wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, kwa sasa yuko katika ziara rasmi ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika. Ziara yake ilianzia nchini Uganda, ikifuatiwa na Kenya, Jumanne 04 Julai 2016.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu