Tunawapa Pongezi kwa Idd ul-Fitr
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Kenya inapenda kutoa salamu za dhati za Idd ul-Fitr yenye baraka kwa Waislamu nchini Kenya na dunia nzima kwa jumla.
Hizb ut Tahrir / Kenya inapenda kutoa salamu za dhati za Idd ul-Fitr yenye baraka kwa Waislamu nchini Kenya na dunia nzima kwa jumla.
Kwa kuamini qadhaa ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Jordan inaomboleza pamoja na Umma wa Kiislamu kwa jumla na watu wa Jordan hasa Shab wa Hizb ut Tahrir, mmoja wa waaminifu wake, wenye subira na wenye matumaini.
Ndugu mtukufu:
Ustadh Omar Faleh At-Tal (Abu Abdullah)
Kibla cha kwanza cha Dini yetu, sehemu iliyobarikiwa ya Isra’a na Miraji ya Mtume (saw), imenajisiwa katika mwezi mtukufu zaidi wa Ramadhan. Quran Tukufu, ambayo iliteremshwa katika mwezi huu uliobarikiwa, imechanwa na kuangushwa chini bila kujali.
Kwa kuamini Qadhaa ya Mwenyezi Mungu (swt), Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan inaomboleza kwa Umma wa Kiislamu na watu wa Jordan kwa jumla na kwa mashababu wa Hizb ut Tahrir hasa, mmoja wa mashababu wake waaminifu, wenye subira na matumaini, ndugu mwanachuoni mkubwa:
Dkt. Abdul Halim Muhammad Al-Ramahi (Abu Imad)
Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu wote, Aliyetufaradhishia kufunga mwezi wa Ramadhan na kuifanya kuwa ni miongoni mwa nguzo za Uislamu, na rehma na amani zimshukie yule aliye teremshiwa Qur’an Tukufu katika mwezi mtukufu, kama uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uongofu na upambanuzi, bwana wetu Muhammad na jamaa zake na maswahaba wake wote.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Kenya ukiongozwa na Ustadh Mahd Ali - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir nchini Kenya akifuatana na Ustadh Yusuf Ghasani na Ali Mwangi ambao wote ni wanachama wa Hizb ut Tahrir
Bangladesh inashuhudia mfululizo wa matukio mabaya ya moto moja baada ya jengine katika miaka kadhaa iliyopita ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi na kujeruhiwa. Pigo la sasa lilisababisha milipuko mitatu mfululizo ndani ya siku nne pekee.
Mwishoni mwa Februari 2023, Waziri wa Masuala ya Wachache wa India Smriti Irani alipunguza kwa kiasi kikubwa bajeti ili kuunga mkono ujumuishwaji wa kijamii na kisiasa wa vikundi vilivyo na uwakilishi mdogo nchini India.
Kufuatia kampeni inayo endelea dhidi ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja nchini Tanzania inayofanywa katika mikoa mbalimbali na Waislamu ikiwemo Hizb ut Tahrir Tanzania, tungependa kubainisha yafuatayo
Machafuko na ghasia za kisiasa juu ya kufanya uchaguzi mapema au kuchelewa, ni aina ya hivi karibuni ya ukosefu wa utulivu wa Pakistan. Tatizo hili limekuwa likiendelea kwa miongo kadhaa iliyopita.