Ewe JAIS! Je Uhalifu na Uovu wote huko Selangor Umemalizika Hadi sasa Unawaendea Walinganizi kama Wahalifu?
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bila kujihisi na hatia, bila ya aibu na bila kumuogopa Mwenyezi Mungu (swt), Kitengo cha Dini ya Kiislamu cha Selangor (JAIS) kimewashtaki Dada watatu wa Hizb ut Tahrir, pamoja na wengine wawili, katika Mahakama ya Chini ya Shariah ya Shah Alam mnamo 29/01/2020 kwa kosa la ‘kuwatukana viongozi wa kidini’.