Alhamisi, 05 Rajab 1447 | 2025/12/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mateso ya Wanawake Kwa Sababu ya Vita Yanathibitisha Haja ya Haraka ya Mfumo wa Kiwahyi ili Kuyapangua Machafuko haya

Katika taarifa moja ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken mnamo tarehe 6/12/2023, kuhusu vita vya Sudan, ambapo alishutumu jeshi pamoja na Vikosi vya Msaada wa Haraka, alisema: "RSF na wanamgambo washirika wao wamewahangaisha wanawake na wasichana katika maeneo mbalimbali ya Sudan, kupitia unyanyasaji wa kingono, kuwashambulia majumbani mwao, kuwateka nyara kutoka mitaani, na kuwalenga wale waliojaribu kukimbilia usalama nje ya mpaka...”

Soma zaidi...

Serikali Vibaraka Zinalipa Uhai Umbile la Mayahudi. Usaliti wa Siri sasa Umekuwa wa Dhahiri!

Chini ya kichwa, "Kuendesha daraja la ardhini kati ya bandari za Haifa na Dubai, kupita Saudi Arabia na Jordan, kuvipita vitisho vya Mahouthi," wavuti ya arabi21.com uliripoti, ukitoa mfano wa Vyombo vya habari vya Kiebrania, kwamba, "Imarati (UAE ) na dola inayokalia kimabavu zilitia saini makubaliano ya kuendesha daraja la ardhini, kati ya bandari za Dubai na Haifa, likipitia katika eneo la Saudia na Jordan, kwa lengo la kuvipita vitisho vya Mahouthi vya kufunga njia za kupitia meli.

Soma zaidi...

Umbile la Kiyahudi Linaanza tena Mauaji Yake Simamisheni tena Khilafah kwa Njia ya Utume kwa ajili ya Uhamasishaji wa Ummah na Majeshi Yake

Umbile la Kiyahudi limeanza tena mauaji yake ya Waislamu wa Gaza. Linajaza angani kwa moshi na moto, huku likiinywesha ardhi kwa damu na machozi ya Waislamu. Umbile la Kiyahudi linapigana vita na wanawake na watoto wetu, huku kambi zake za kijeshi zikiwa ndani ya masafa ya makombora ya Pakistan.

Soma zaidi...

Vitendo vya Mahouthi Vinatekelezwa kwa Ufadhili na Idhini ya Utawala wa Marekani!

Tovuti ya Al-Omama iliripoti katika habari zake chipuka mnamo Jumatano, Novemba 29, 2023, taarifa ya msemaji wa eneo wa Wizara ya Kigeni ya Marekani, Samuel Warburg, chini ya kichwa: "Wizara ya Kigeni ya Marekani: Washington Haina nia ya kuweka Vikwazo Vipya juu ya Mahouthi kwa Sababu Moja Pekee. "

Soma zaidi...

Mfumo wa Kibepari: Janga Juu ya Majanga

Makumi ya maelfu ya watu kote nchini wameathiriwa na mvua kubwa, mafuriko na maporomoko ya ardhi. Kenya, ikiwa ni pamoja na Pembe ya Afrika imekumbwa na mvua kubwa inayohusishwa na hali ya hewa ya El Nino katika wiki za hivi karibuni iliyosababisha vifo vya makumi ya watu, ikiwa ni pamoja na zaidi ya 100 katika maeneo mbalimbali ya Kenya.

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon cha Andaa Semina ndani ya Wigo wa Amali ya Wanawake ya Kiulimwengu kwa ajili ya Palestina

Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika wilayah ya Lebanon, leo, Jumapili, kilifanya semina katika mji mkuu, Beirut, ndani ya wigo wa siku ya kufanya kazi ya wanawake ulimwenguni kwa ajili ya Palestina kuyalingania majeshi ya Waislamu kuwaokoa wanawake wa Gaza na watoto wake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), mbele ya uhudhuriaji wa wanawake.

Soma zaidi...

Kushiriki kwa Serikali ya Uzbekistan katika Mkutano wa nchi za Kiarabu na Kiislamu uliofanyika jijini Riyadh

Mnamo Novemba 11, mkutano wa kilele wa nchi za Kiarabu na Kiislamu ulifanyika jijini Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, ambapo hali katika Ukanda wa Gaza ilijadiliwa. Waziri Mkuu wa Uzbekistan Abdulla Aripov alishiriki katika mkutano huo. Katika hotuba yake, Aripov hakuenda zaidi ya "kuwataka wahusika kufikia amani ...",

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu