Mpango wa Kufufua Uchumi Hauwezi Kumaliza Mgogoro wa Kiuchumi Unaokua. Mpango huo tiifu kwa Mfumo wa Kimataifa wa Kibepari. Inafungua Njia kwa Ukoloni Zaidi wa Kiuchumi wa China kwa Pakistan
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Taarifa moja kwa vyombo vya habari iliyotolewa na serikali ya Pakistan mnamo Juni 20, 2023 ilitangaza mpango mpya wa kufufua uchumi. Kimsingi unaungwa mkono na uongozi wa jeshi, na kupewa lakabu ya "Kanuni ya Asim Munir."



