P.K. Halder ni Kikaragosi Kidogo katika Mchezo Muovu wa Urasilimali Msekula; ambapo Kifungo cha Jela ni Kinga kwa wengine kutokana na kuregesha Pesa Zilizoporwa
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mlaghai mtoro wa Bangladesh Prashanta Kumar Halder, anayejulikana pia kama P.K. Halder, alikamatwa eneo la Bengal Magharibi nchini India mnamo Mei 14, 2022 na Kurugenzi ya Utekelezaji Sheria ya India.