Mnazo Nguvu! Uislamu ndio Mwelekeo Pekee wa Kutatua Migogoro Yote
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, Uturuki ilikuwa ikipitia mgogoro mkubwa wa kiuchumi.
Katika kipindi cha miezi miwili iliyopita, Uturuki ilikuwa ikipitia mgogoro mkubwa wa kiuchumi.
Mwenendo wa kihistoria wa kesi za Hizb ut Tahrir nchini Uturuki umejaa kashfa za kisheria.
Kwa mtazamo huu, kwa mtazamo wa dini yetu inayotuongoza, na baada ya matukio uchungu mfululizo katika Kambi ya Burj al-Shamali - mlipuko na kisha ufyatualiaji risasi kwenye mazishi! - ambayo yaligharimu maisha ya watu wasio na hatia, ili kwamba badala ya mazishi moja,
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina inamuomboleza aliyekuwa Imam wa Msikiti wa Ibrahimi, mmoja wa wanachama wema wa Hizb ut Tahrir, Hajj Salih Abdul-Jawad Al-Razem (Abu Dhia),
Harakati ya Kiislamu ya Hizb ut-Tahrir inatuma rambirambi zake kwa wanafamilia na marafiki waliopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya mto Enzui baada ya basi kutumbukia ndani ya maji, ambapo hadi kufikia sasa watu 33 wameaga dunia. Kwa majeruhi wa mkasa huu, tunawatakia afueni ya haraka.
Kwa nyoyo zilojaa imani na kuridhika na qadhaa ya Mwenyezi Mungu, na kwa macho yanayobubujika machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon yamuomboleza mbebaji ulinganizi:
Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Jordan inamuomboleza mbebaji Da`wah, Hajj Yussuf Muhammad Al-Awadhi (Abu Ayman), aliyekwenda kwenye rehema za Mwenyezi Mungu jana, Jumanne 30/11/2021 akiwa na umri wa miaka 80 ambayo aliitumia katika kumtii Mwenyezi Mungu na kubeba ulinganizi wa kuanzisha tena maisha kamili ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Ni furaha kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, wasomi na wanamaoni kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Kadhia za Umma cha kila wiki ili kujadili masuala ya sasa.
Tarehe 9 Disemba, Tanganyika / Tanzania itaadhimisha miaka 60 ya uhuru iliyoupata kutoka kwa Uingereza 1961, baada ya awali kuwa chini ya ukoloni wa Ujerumani kabla ya nchi hiyo kushindwa katika Vita vya Kwanza.
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina inaomboleza, mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir, mbebaji da'wah kutoka safu zake za kizazi cha kwanza, Marehemu kwa idhini ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: