Makubaliano ndani ya Sanduku! Enyi Muliokubali, Njooni katika Neno ambalo kwamba ni Sawa kati Yetu na Nyinyi
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Masharti ya waraka yaliowasilishwa na Muhammad Ali hayakutofautiana kutokamana na katiba ya Misri katika hatua ya awali, kwa kupuuza kwake imani ya watu wa Misri na hamu yao ya kuishi kwa mujibu wa Uislamu.