Je! Sio wakati Sasa, Enyi Jeshi la Kinana, wa Kukata Kiu Yenu ya Kuikomboa Al-Aqsa na Kuswali Humo?!
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Watu waliamka jana asubuhi, Jumamosi, kwa vilio na mayowe ya umbile la Kiyahudi kufuatia shambulizi la kundi la Mujahidina kwenye makaazi yaliyozunguka Ukanda wa Gaza, wakichukua udhibiti wake, wakikamata idadi kubwa ya askari wa Kiyahudi, na kuwauwa mamia, na kujeruhi zaidi ya elfu yao