Watu wa Sudan Hawana na Hawatakuwa Mgogoro kwa Watu wa Misri, Badala yake, Watu wa Misri na Jeshi Lake Lazima Wawakumbatie na Kuwanusuru
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais wa Misri Abdel-Fattah El-Sisi alisema kuwa nchi yake "itakabiliwa na athari za kiuchumi na matatizo" endapo itapokea raia wengi wa Sudan, katikati ya mgogoro unaoendelea kati ya pande zinazozozana nchini mwao.