Wale Wote Wanaotaka Uhuru kutokana na Marekani, Lazima Wafanye Kazi ya Kusimamisha Tena Khilafah kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mjadala wa nchi nzima, kutoka kwa raia hadi kwa watu walio mamlakani, umepanuka kutoka kwa kuanguka kwa Rupia mbele ya dolari ya Kimarekani, na utumiaji wa anga ya Pakistan kwa droni za Amerika, hadi jinsi Pakistan inaweza kuwa huru kikweli, wakati tunabeba hasara kubwa kwa uchumi wetu, elimu, afya na usalama.



