Jumamosi, 21 Muharram 1446 | 2024/07/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kongamano la Nchi Zinazozungumza Kifaransa Lililofanyika nchini Tunisia ni Kongamano la Kufeli na Usaliti

Kongamano la 18 la marais wa nchi na serikali zinazoshirikiana matumizi ya lugha ya Kifaransa, linaloitwa Kongamano la Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone), litafanyika katika kisiwa cha Djerba mnamo Novemba 19 na 20, 2022, baada ya vikwazo vya mara kwa mara tangu ilipotangazwa mnamo 2020 kwamba litafanyika katika nchi yetu.

Soma zaidi...

Ingawa Uwanja wa Kasbah Umegeuzwa kuwa Kambi ya Usalama na Kijeshi Hizb ut Tahrir Yanakili Msimamo wa Kisiasa Kukataa Kuiuza Tunisia kwa Mfumo wa Fedha wa Kimataifa na Mipangilio yake

Serikali ya rais haikutosheka na kutia saini hati ya mpito kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) ili kukaza mshiko wake kwa nchi hii na wananchi, wala haikutosheka na kutoa rushwa kwa Chama Kikuu cha Wafanyakazi cha Tunisia kwa ushiriki wake katika uhalifu wa kujisalimiisha kwa masharti ya IMF na dozi yake hatari, wala haikutosheka na kuzua mashtaka ya kidulma na ya kirongo dhidi ya wanachama wa Hizb ut Tahrir kuidhoofisha hizb na kuishughulisha ili isifichue njama zake na duara za kikoloni na zan zao za kifedha. Haikutosheka na yote hayo.

Soma zaidi...

Taasisi ya Afisi ya Rais na Kushindwa Kifikra Kuikabili Hizb ut Tahrir

Mnamo Jumanne, tarehe 30/8/2022, ujumbe kutoka Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Tunisia, ukiongozwa na Ustadh Yassin Bin Yahia, wakiwemo wajumbe Ustadh Al-Habib El Madini na Mohammad Ali Bin Salim, walitembelea Taasisi ya Tunisia ya Mafunzo ya Kimkakati, ambayo ni taasisi rasmi chini ya usimamizi wa Afisi ya Rais wa Jamhuri.

Soma zaidi...

Pindi Serikali Inapotekeleza Unyanyasaji dhidi ya Wanawake

Wizara ya Wanawake, Familia na Wazee inazindua kampeni ya kinidhamu ambayo kwayo ilichagua kauli mbiu ya “Kupinga Unyanyasaji dhidi ya Wanawake” ambapo kupitia kwayo inapigia debe utekelezaji wa Sheria Msingi nambari 58 ya tarehe 11/8/2017, iwe ndio mdhamini pekee wa kuweka hatua za kutokomeza aina zote za unyanyasaji dhidi ya wanawake.

Soma zaidi...

Sheria ya Fedha ya Rais Inachipuza Kutoka katika Chanzo Kile kile cha Utawala wa Zamani

Mnamo siku ya Jumanne, 28/12/2021, Waziri wa Fedha, Siham Boughediri Namsiyah alitangaza wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu bajeti ya serikali ya mwaka wa 2022, ambayo ilitolewa na amri ya rais iliyojumuisha sura za Sheria ya Fedha ya mwaka wa 2022, alikadiria nakisi kuwa dinari bilioni 8.548.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu