Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kipindi cha Mpito!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kipindi cha Mpito!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kipindi cha Mpito!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan ilizindua kampeni ya mitandao ya kijamii, haswa kwenye mtandao wa X (zamani ikijulikana kama Twitter), yenye kichwa “Katika Kumbukumbu ya Miaka 14 ya Kutekwa Nyara Kwake... Mwachilieni Huru Naveed Butt!” Kampeni hii inalenga kuishinikiza serikali dhalimu ya Pakistan, ambayo huduma zao za siri zilimteka nyara Mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Pakistan, miaka 14 iliyopita mbele ya familia yake na majirani zake.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Dua kwa Naveed Butt – Mwenyezi Mungu Amfungue Kifungo Mwake
Mnamo Jumapili, 10 Mei 2026, Hizb ut-Tahrir / Malaysia ilifanya kongamano la Khilafah katika Ukumbi wa Mikutano wa Shah Alam, Malaysia, chini ya kichwa: “Kurudisha Nguvu ya Kilimwengu ya Ummah.”
Jijini Washington, mazungumzo yalifanyika kati ya mabalozi wa Lebanon na umbile la Kiyahudi. Hii ilionekana kama mazungumzo ya kiwango cha juu cha amani, pamoja na makubaliano ya kusitisha mapigano ya siku kumi ambayo baadaye yaliongezwa hadi miezi mitatu mnamo Aprili 24, 2026. Hata hivyo, umbile la Kiyahudi linaendelea kuzidisha uchokozi wake, “jeshi la uvamizi lilitangaza kwamba lilifanya mfululizo wa mashambulizi usiku kucha likilenga zaidi ya maeneo hamsini kusini mwa Lebanon...” (Al-Jumhur, Mei 2, 2026). Je, nia, kama Trump alivyosema, ni amani kupitia nguvu? Basi watawala wa Lebanon wanawezaje kukubali mazungumzo haya ya usaliti ambayo waziwazi, na si kwa siri, yanamaanisha kupanda treni ya uhalalishaji mahusiano?
Mnamo Jumamosi 02 Mei 2026 M, Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kongamano la kila mwaka la Khilafah katika ukumbi wa mikutano na makongamano ulio katika makutano ya Sakiet Ariana katika mji mkuu wa Tunis, lenye kichwa: “Kufeli kwa Dola ya Kisasa na Kutoepukika kwa Dola ya Khilafah”