Minbar ya Ummah: Maandamano huko Idlib, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala"
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano yalifanyika mbele ya Msikiti wa Hussein katika mji wa Idlib kwa kichwa, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala."