Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 276
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 276
Vichwa Vikuu vya Toleo 276
Katika Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Khilafah 1441 H - 2020 M, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya kongamano ndani ya Istanbul kwa kichwa, “Kuanzia katika Familia hadi Dola – Ujenzi wa Mujitama wa Kiislamu.”
Amekufa ShahidI, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt), Hasan Duwaik (Abu Adnan), Mwenyezi Mungu amrehemu na hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu (swt)
Waheshimiwa, Wanamapinduzi, na Waaminifu wanaeleza mpango wa hatua ya kuwaondoa maadui wa mashambani kaskazini mwa Idlib.
Taarifa kutoka kwa kundi la familia na watu mashuhuri katika mji wa Kalelee A-Khansa’ ziko katika tathmini ya ushindi na wanaunga mkono kwa vikundi vingi vya wanamapinduzi huru.
Vichwa Vikuu vya Toleo 275
Minbar Ummah: Maoni ya Umma "Vikosi huru vya Mapinduzi ndio hitajio letu"
Taarifa kutoka kwa waheshimiwa na wanamapinduzi katika kambi za Al-Karamah waliokusanyika mashambani Idlib, ambapo walieleza kuunga mkono kwao kwa vikosi vya wanamapinduzi huru, wadhamini na wanaopanga njama za Mapinduzi ya Ash-Sham
Taarifa kutoka kwa waheshimiwa na watu wa Tel Karama mashambani Idlib, wakitangaza kuunga mkono kwao kwa Vikosi vya Wanamapinduzi Huru.
Minbar ya Ummah: Taarifa kutoka kwa Waheshimiwa wa magharibi mwa Kambi ya Atma wakitangaza kuunga kwao mkono kwa Vikosi vya Mapinduzi huru.