Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Mfano wa Ukraine Unathibitisha Hatari ya Ukoloni wa Kijeshi!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfano wa Ukraine Unathibitisha Hatari ya Ukoloni wa Kijeshi!
Mfano wa Ukraine Unathibitisha Hatari ya Ukoloni wa Kijeshi!
Ramadhan ya Mwaka Huu, Yaupasa Umma na Majeshi yake Wakabiliana na Dhulma ya Ukoloni wa Marekani!
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 104 Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah (miaka 101 M), Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki iliandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa ushiriki mpana chini ya kichwa: “Kujenga Mustakabali pamoja na Khilafah kutoka Istanbul hadi Al-Qudsi!”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan mwaka huu, 1446 H (2025 M), silsila mpya ya vipindi vya Al-Waqiyah TV vyenye kichwa “Tafakafi,” vilivyotayarishwa na kuwasilishwa na Mhandisi Baher Saleh, Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan: “Ramadhan ni njia ya mafanikio”
Kalima ya Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Mwezi Ramadhan Uliobarikiwa 1446 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Amali za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Ramadhan Uliobarikiwa 1446 H
Shirika la habari la Reuters liliripoti mnamo Februari 21, 2025 kwamba “Marekani imetoa dolari milioni 397 kusaidia mpango wa kijeshi katika chini ya Pakistan yenye silaha za nyuklia, huku msaidizi mmoja wa bunge akisisitiza kwamba matumizi ya F-16 ya Marekani katika operesheni za kukabiliana na ugaidi yatafuatiliwa isipokuwa dhidi ya India.” Huu ndio uhalisia wa ukoloni wa kijeshi: kuyafanya majeshi ya Waislamu kupigana wao kwa wao, huku wakiyazuia kupigana jihad dhidi ya India, umbile la Kizayuni, na majeshi ya Msalaba!