Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Kimbunga cha Al-Aqsa .. Ujumbe wa Haraka kwa Umma wa Kiislamu na Majeshi Yake!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh yaandaa kongamano kwa kichwa: “Njia ya Kutokea: Kutoka kwa Mshiko wa Hasina na Mkoloni Marekani!”
" Kwa Nini Ufaransa Inawaogopa Wanawake wa Kiislamu?!" Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yamwalika kwenye mjadalaDkt. Nazreen Nawaz,
Serikali ya Ufaransa imeanzisha marufuku ya uvaaji wa Abayah katika shule za Ufaransa, ambayo ilianza kutekelezwa mwezi huu wa Septemba. Ilisema kwamba mavazi ya kidini yanahujumu kanuni za kisekula zinazounda msingi wa dola yake, na kutoegemea upande wowote wa kidini ndani ya shule.
Mnamo tarehe 12/9/2023, Baraza Kuu la Muungano unaoitwa Muungano wa Upinzani ulimchagua Hadi Al-Bahra kuwa rais wake mpya.
Mnamo Agosti 27, 2023, uongozi wa yale yanayojulikana kama SDF (Majeshi ya Kidemokrasia ya Syria), pia yanayojulikana kama QSD, yalimkamata kiongozi wa baraza la jeshi la Deir Ez-Zor baada ya kumvutia, pamoja na baadhi ya makamanda wake, kwenye mkutano mmoja katika kambi ya Waziri huko Al-Hasakah.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Kalima ya Kikao Kilichositishwa cha Hizb ut-Tahrir katika Uwanja wa Nejmeh – Sidon
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 65 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume