Je ni Kweli kuwa Hakuna Dawa kwa Magonjwa Mengi Ikiwemo Virusi vya Korona?!
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika Makala yangu yaliyopita, niliandika kuwa, "nidhamu yote ya kimataifa imetambua kufeli kwake katika kupigana na kiumbe kidogo zaidi ardhini na kumuacha mwanadamu kukabili kifo chake huku akiwa katika hali ya vishindo.