“Ni Nani Atakaye Komesha Mauaji ya Halaiki Dhidi ya Waislamu wa Rohingya?”
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kama mujuavyo, Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar kwa sasa wanakabiliwa na kampeni katili ya mauaji ya halaiki mikononi mwa serikali katili ya Myanmar, wanaandamwa kwa kisingizio cha urongo cha kupambana na ugaidi.