Jibu la Swali: Hukmu za Kuunganisha Swala Msimu wa Baridi
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sheikh wetu mpendwa, ningependa utufafanulie hukmu za kuunganisha swala wakati wa baridi, na ni ipi hukmu ya kuunganisha? Je, baridi (hali ya hewa) bila ya upepo mkali ni udhuru unaoruhusu kuunganisha swala? Ikiwa mvua itapusa kabla ya rukhsah (ruhusa) kukatika, je, hiyo inaruhusu kuunganisha?