Jibu la Swali: Yeyote anayepata Rikaz (Hazina Iliyozikwa) Khumusi Moja Inapaswa Kutolewa
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Lau atapata faini za Uthmaniya ambazo zilifichwa na Utawala wa Uthmaniya mwaka 1916 na hawezi kuzirudisha kwa Waturuki sasa, basi je ni mwenye kupata mali akipata ana fungu au ni mwenye ardhi pekee - ujira wa kuhifadhi hazina hiyo katika ardhi yake?