Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Mkutano wa Waandishi Habari “Suluhisho la Tatizo (Israel) na Ukombozi wa Palestina katika Nukta 10”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uturuki inaandaa amali ya kusoma taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa katika makao makuu ya "Koklu Degisim " jijini Istanbul chini ya kichwa:
"Suluhisho la Tatizo (Israel) na Ukombozi wa Palestina katika nukta 10"