Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) Ripoti Maalum juu ya Maandamano na Kukabidhi Risala kwa Ubalozi wa Uswidi na Uholanzi
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kufuatia matukio mawili tofauti yaliyohusisha kitendo cha kinyama na cha uoga cha kutusi kupitia kuchoma moto nakala ya Quran, Hizb ut Tahrir/Malaysia (HTM) ilifanya maandamano ya amani na kuwasilisha risala za maandamano kwa Balozi za Uswidi na Uholanzi jijini Kuala Lumpur.