Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 434
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kuhusiana na muitiko wa dharura kwa mafuriko, Khilafah ingekataa mikopo inayoegemea riba, kuitisha mahitaji kutoka sehemu ambazo hazijaathirika za Ulimwengu wa Kiislamu, kutawataka wanajeshi wa Kiislamu kusaidia badala ya wanajeshi wa Marekani na kuzingatia kikamilifu maafa badala ya kupurukushwa na mivutano duni ya kuwania madaraka.
Maandamano yalianza baada ya Swala ya Ijumaa huko Deir Hassan dhidi ya kufungua vivuko pamoja na utawala wa kihalifu
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Soran viungani mwa Azaz
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Atarib viungani mwa Aleppo Magharibi
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu nyingine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo na Hijabu na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika wilaya na mikoa mbali mbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo mbali mbali ya maisha, ambazo zimeshughulikia mgogoro ya utawala na mipango inayopendekezwa kuutatua, na maafa ya mafuriko na mvua zilizonyesha katika mikoa mbalimbali nchini...
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 59 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume