Al-Waqiyah TV: Kwa Vijana wa Umma... Musikate Matumaini!
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe wa dharura wa Mhandisi Ismail Al-Wahwah (Abu Anas) Mwenyezi Mungu amrehemu
Ujumbe wa dharura wa Mhandisi Ismail Al-Wahwah (Abu Anas) Mwenyezi Mungu amrehemu
Maoni ya Habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwapa wafuasi na wageni wake kwenye tovuti za Afisi Kuu ya Habari DVD yake mpya
Hizb ut Tahrir/Amerika itaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa mwaka huu wa 2023 chini ya kichwa:
"Migogoro na Njia panda... Udharura wa Uislamu Kuuokoa Ulimwengu"
Risala zilizotolewa na kundi la wabebaji Da’wah zilizoelekezwa kwa Hay’at Tahrir Ash-Sham (HTS) baada ya kuvamia nyumba za wabebaji Dawah na kuwakamata mashababu kadhaa wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria kwa njia ya kishenzi, ukiukaji utukufu, katika mandhari ya kutisha iliyo mbali na maadili ya Uislamu na Waislamu.
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 62 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan ilizindua kampeni kwenye mitandao ya kijamii kwa kichwa "Katika kumbukumbu ya miaka 11 ya kutekwa nyara kwake.. Mwacheni Huru Naveed Butt!"
Maoni ya Habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni Demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa kisimamo katika mji wa Tripoli, Ash-Sham, mbele ya Al-Saray, chenye kichwa:
“Sote tuko dhidi ya Kampeni ya Kibaguzi na ya Kidhulma dhidi ya Ndugu zetu Watu wa Ash-Sham!"
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Fitri Al-Mubarak 1444