Jumamosi, 04 Dhu al-Hijjah 1446 | 2025/05/31
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan:

Gaza inahitaji kuingia kwa majeshi ya Waislamu, sio tu misaada ya kibinadamu!

Taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Waarabu, ulioandaliwa na mji mkuu wa Iraq, Baghdad mnamo tarehe 17 Mei 2025, ilisisitiza haja ya kuleta misaada ya kibinadamu mjini Gaza. Watawala wa Waislamu, Waarabu na wasiokuwa Waarabu, wamezuia majeshi ya Waislamu kupigana na Mayahudi, kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu. Mtume ﷺ ametuambia kuwa kupigana na Mayahudi na kuwashinda kunaleta malipo makubwa. Muslim amepokea katika Sahih yake kutoka kwa Ibn Umar kwamba Mtume (saw) amesema, «لَتُقَاتِلُنَّ الْيَهُودَ فَلَتَقْتُلُنَّهُمْ...» “Kwa yakini mtapigana na Mayahudi na kwa yakini mtawaua...” Umma wa Kiislamu na majeshi yake lazima usimamishe Khilafah Rashida ya Pili kwa ajili ya ukombozi (tahrir) wa Ardhi Iliyobarikiwa kuanzia kwenye mto wake hadi bahari yake.

#Time4Khilafah

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumapili, 20 Dhu al-Qi'dah 1446 H sawia na 18 Mei 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu