- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Ummah na Majeshi Yake Lazima Ukatae Uhalalishaji Mahusiano na Mayahudi na Mabaniani!
Vyanzo vya kimatibabu vimeandika kuuawa shahidi kwa Wapalestina wasiopungua 42 kutokana na ulipuaji mabomu wa umbile la Kiyahudi katika Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Jumatatu, 12 Mei 2025. Uvamizi huo ulianza tena jioni baada ya kusimama kwa saa kadhaa, ambapo mwanajeshi mmoja aliyekamatwa wa umbile la Kiyahudi aliachiliwa huru. Mithili ya Mabaniani, Mayahudi ni watu wahaini ambao wanazuiliwa tu kwa yale aliyoyataja Mwenyezi Mungu ﷻ katika Ayah, [فَإِمَّا تَثْقَفَنَّهُمْ فِي الْحَرْبِ فَشَرِّدْ بِهِمْ مَنْ خَلْفَهُمْ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ] “Basi ukiwakuta vitani wakimbize walio nyuma yao ili wapate kukumbuka.” [Surah Al-Anfal: 57]. Hakuna kitakachowazuia isipokuwa “Khandaq (Vita vya Handaki)” vipya vyenye kuondoa mizizi yao, na Khaybar mpya ambayo inarudi kuwashambulia kama ilivyowashambulia Thamud.
#Time4Khilafah
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Jumatano, 16 Dhu al-Qi'dah 1446 H sawia na 14 Mei 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan