Jumatano, 11 Rajab 1444 | 2023/02/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Msikiti wa Al-Aqsa Unayasubiri Majeshi ya Waislamu ili Kuukomboa!

Ujumbe ambao Waislamu wa Al-Qudsi waliuelekeza kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu wakati wa ziara yake ya kufedhehesha katika Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa...

Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa unaulilia Umma wa Uislamu na kusema: Enyi Umma wangu! Njoo mniokoe!

Tunataka kuwakaribisha Waislamu hapa kama wakombozi wetu... Msikiti uliobarikiwa wa Al Aqsa unatishiwa kubomolewa, unatishiwa kuharibiwa...Wanataka kuuharibu.

Msikiti wa Al-Aqsa haukaribishi ziara za usawazishaji mahusiano, usaidizi na usaliti! Msikiti wa Al-Aqsa unayasubiri majeshi ya Uturuki kuukomboa...

Huu ndio ujumbe wa watu wa Al-Qudsi na wasia wa Abdul Hamid... Nyinyi ni kizazi cha Al-Qanuni na Muhammad Al-Fateh. Tunataka uje hapa kama mshindi na mkombozi.

Jumatano, 25 Shawwal 1443 H - 25 Mei 2022 M

Kwa Mengi Zaidi Bonyeza Hapa

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu