Ijumaa, 06 Rajab 1444 | 2023/01/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Kisimamo Mjini Gaza, Al-Hashim cha Kuyaomba Nusra Majeshi ya Umma Kuinusuru Al-Aqsa!

Hizb ut Tahrir iliandaa kisimamo mjini Gaza Al-Hishem / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) cha kuyaomba nusra majeshi ya Umma kuunusuru Msikiti Al-Aqsa uliobarikiwa na kuutakasa kutokana na najisi ya Mayahudi.

Jumapili, 29 Shawwal 1443 H - 29 Mei 2022 M

Kwa Mengi Zaidi Bonyeza Hapa

- Video Kamili ya Amali ya Kisimamo -

- Mkutano na Mhandisi Adel Prem Wakati wa Kisimamo -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina):

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu