Pauni ya Sterling ya Uingereza ni Mwathiriwa wa Mfumo wa Sarafu Zisizo na Thamani ya Dhati (Fiat)
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Benki Kuu ya Uingereza imesema kwamba haitasita kupandisha viwango vya riba ili kudhibiti mfumko wa bei baada ya kuanguka kwa pauni kwa rekodi ya chini dhidi ya dolari ya Marekani.



