Kikosi cha Mauaji cha Polisi Hupata Baraka za Tawala za Kisekula za Kibepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tarehe 21 Agosti 2021, tovuti ya gazeti la The Standard lilichapisha habari: “Polisi Wageuka kuwa Majambazi? IPOA sasa kuchunguza vifo 105.”



