Mamlaka za Uzbekistan Zaendelea Kupotosha Uislamu kwa Kutumia Maimamu Wafisadi
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Januari 7, kampuni ya utangazaji ya televisheni ya Uzbek kwenye chaneli "Uzbekistan" ilipeperusha kipindi kinachoitwa "Uislamu - kiini na maelezo,"



