Pongezi kutoka Kote Ulimwengu kwa Mnasaba wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1445 H
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Pongezi kutoka kote Ulimwengu kwa Mnasaba wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1445 H
Pongezi kutoka kote Ulimwengu kwa Mnasaba wa Idd ul-Fitr Al-Mubarak 1445 H
Baada ya kuutafuta mwandamo wa mwezi wa Shawwal katika mkesha huu uliobarikiwa wa Jumanne, mwandamo wa mwezi mpya haujathibitishwa kulingana na mahitaji ya Shariah. Kwa hivyo, kesho Jumanne ni kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Mwenyezi Mungu akipenda, na siku inayofuata kesho Jumatano, itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na siku ya kwanza ya Idd al-Fitr iliyobarikiwa.
Mnamo siku ya Jumamosi, tarehe 20 Ramadhan 1445 H, sawia na 30/3/2024 M, Gavana wa Benki Kuu jijini Sana'a, Hashim Ismail, alifanya mkutano na waandishi wa habari, ambapo alitangaza kutolewa kwa sarafu mpya ya riyal 100 kuchukua nafasi ya noti ya riyal 100 iliyoharibika iliyotolewa naye. Matumizi ya sarafu mpya yalianza kutumika mnamo Jumapili, Ramadhan 21, 1445 H.
Safari ya Usiku na Kupaa, Al-Isra’ Wal Mi’raj, ni muujiza mkubwa ambapo Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), aliona moja ya alama kuu za Mola wake. Ambapo milango ya Bait al-Maqdis na milango ya mbinguni ilifunguliwa kwa ajili yake baada ya kukata tamaa na watu wa Makka na Taif.