Jumatano, 03 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Enyi Umma wa Kiislamu na Majeshi Yake Fanyeni Mapinduzi dhidi ya Watawala Waovu wala Msiwategemee wao”

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Umma wa Kiislamu na Majeshi Yake Fanyeni Mapinduzi dhidi ya Watawala Waovu wala Msiwategemee wao” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu, ambayo yalipangwa kufika Al-Barabara ya Al-Thawra kama ilivyo kila Ijumaa. Ni matembezi ya 26 mfululizo tangu vita vya mauaji ya halaiki vizuke dhidi ya Waislamu katika Ukanda wa Gaza katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Dua ya Qunut “Ramadhan ni wakati wa Kuungana kwa ajili ya Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa katika maeneo 13 katika miji tofauti tofauti ya Kituruki.

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Maandamano Makubwa “Pelekeni Jeshi la Pakistan Kuikomboa Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano makubwa katika miji mikubwa ya Pakistan.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu