Alhamisi, 04 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Nusra kwa Al-Aqsa na Wafungwa”

Mnamo siku ya Ijumaa, 3 Aprili 2026, matembezi yaliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia, mji mkuu wa Tunisia, yalianza kutoka Msikiti wa Al-Fath baada ya swala ya Ijumaa. Matembezi hayo, yaliyofanyika kwa ajili ya kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa na wafungwa wa Palestina, yalikuwa na kichwa: “Kuhamasisha majeshi, kupindua viti vya watawala, na kutangaza jihad ndiyo njia pekee ya kuwaokoa wafungwa na kuikomboa Masra.”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Amali kwa Mnasaba wa Idd ul-Fitr Iliyobarikiwa 1447 H

Katika siku ya tatu ya Idd al-Fitr Iliyobarikiwa, sawia na Jumamosi, 12 Machi 2026 M, mashababu wa Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan walikusanyika katika afisi ya hizb katikati mwa jiji la Khartoum ili kupeana salamu za Idd. Mkutano huo ulijumuisha mashababu kutoka kote Khartoum, Omdurman, Jabal Awliya, Kalakila, Nile Mashariki, na maeneo mengine. Walitoa pongezi zao kwa Idd iliyobarikiwa na kuelezea furaha yao ya kuonana baada ya miaka mingi ya vita.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu