Alhamisi, 04 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Takbira “Ni Dola ya Khilafah Pekee ndiyo Itakayomaliza Kiburi cha Amerika.”

Baada ya Swala ya Ijumaa ya mwisho ya Ramadhan Tukufu 1447 H, matembezi ya Takbira (Allahu Akbar) yaliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wikayah ya Tunisia yalianza kutoka Msikiti wa Al-Fath katika mji mkuu, Tunis. Umati mkubwa wa Watunisia ulishiriki, wakipiga Takbira na Tahlil, na matembezi hayo yaliendelea kupitia barabara kuu za mji mkuu kuelekea Barabara ya Al-Thawra. Mabango yaliinuliwa, bango kuu likiwa limeandikwa, “Ni Dola ya Khilafah Pekee ndiyo Itakayomaliza Kiburi cha Amerika.”

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu