Je Chanjo za Virusi vya Korona ndio Suluhisho la Janga hili?
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Pakistani ndio nchi ya hivi karibuni zaidi kutangaza chanjo dhidi ya virusi vya Korona.
Pakistani ndio nchi ya hivi karibuni zaidi kutangaza chanjo dhidi ya virusi vya Korona.
Kama sehemu ya hatua za kuzuia dhidi ya kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza, misikiti ya nchi hiyo itabaki imefungwa hadi tarehe 1 Januari 2021, iliripoti Turkmenportal kwa mujibu wa Muftiate wa Turkmenistan.
Kiongozi mmoja wa mshtaka aliomba kifungo cha miaka 52.5 kwa jumla kwa wazungumzaji 4 wa kongamano moja ambalo lilikuwa limepangwa kufanyika mnamo 2017 lakini likazuiwa pasi na sababu msingi.
Mnamo 2 Disemba 2020, ilitangazwa kuwa serikali ya Afghanistan na Taliban wamekubaliana juu ya sheria za mazungumzo.