Jumapili, 02 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Jeshi la Waislamu Huzuia haja ya Rambirambi, kwa Kumshinda Adui Muovu

(Imetafsiriwa)

Mnamo tarehe 24 Oktoba 2023, Mkuu wa Jeshi la Sita kwa ukubwa Ulimwenguni, Jeshi la Pakistan, alitoa rambirambi kwa balozi wa Palestina.

Ni juu ya uongozi wa kijeshi kuzuia haja ya rambirambi, tangu mwanzo, kwa kulimaliza umbile la Mayahudi.

Je! Ni kwa nini makombora ya balistiki hayawezi kuilenga Tel Aviv, kutoa kifuniko kwa vikosi vya ardhini? Je! Ni kwa nini askari wa SSG hawawezi kutumwa kwenda Misri, kuingia Gaza kupitia Kivuko cha Rafah? Je! Ni kwa nini vikosi vya kawaida haviwezi kutumwa kwenda Jordan, kuingia Ukingo wa Magharibi, kupitia Daraja la Al-Karameh?

Je! Ni kwa nini ISI isitumwe hadi Syria kuongoza Mujahidina?

Je! Ni kwa nini Jeshi la Pakistan haliwezi kuanzisha njia za usambazaji, kupitia bandari ya Beirut nchini Lebanon? Je! Ni kwa nini Jeshi la Anga la Pakistan haliwezi kutumia Kambi ya Anga ya Incirlik nchini Uturuki, kulizima Jeshi la Anga la adui?

Enyi wana wa Salahudin! Ikiwa uongozi wenu wa sasa hauwezi kukuongozeni vitani, uwekeni ule unaoweza! Simamisheni Khilafah kwa Njia ya Utume na mutaharaki.

[وَإِنِ اسْتَنْصَرُوكُمْ فِي الدِّينِ فَعَلَيْكُمُ النَّصْرُ]

“Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia.” [Surat Al-Anfal 8:72]

#ArmiesToAqsa

H. 10 Rabi' II 1445
M. : Jumatano, 25 Oktoba 2023

Hizb-ut-Tahrir
Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu