Wilayah Syria: Kisimamo cha Kambi za Deir Hassan "Ufunguzi wa Maeneo Utauangusha Uchaguzi"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Deir Hassan viungani mwa Idlib baada ya swala ya Ijumaa ikiyataka makundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.