Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 353
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kisimamo cha kulaani katika mkusanyiko wa Al-Karama - viungani mwa Idlib chini ya anwani "Mdhamini wa Kituruki ni Kuisalimisha Ardhi na Kumwaga Damu" dhidi ya mauaji ya kidhulma na kiuadui ya mtoto "Ridhwan Sattam Al-Obaid" na askari wa Kituruki.
Imekuwa miaka miwili tangu Raja Dahir wa zama zetu, Modi, kuiunganisha kwa nguvu Kashmir Iliyokaliwa mnamo 5 Agosti 2019.
Maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Daraa kwa anwani "Daraa Imethibitisha Udhaifu wa Serikali na Usaliti wa Viongozi wa Makundi!"
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Azaz viungani mwa Aleppo Kaskazini baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani "Daraa Yawaomba Nusra Wenye Ikhlasi na Yaondoa Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"
Wakati wa miaka ya 1840, wakati Ireland ilipokuwa katika baa kubwa la njaa kubwa ambalo lilichukua roho za zaidi ya watu milioni moja,
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"