Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 398
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni Wakati Sasa kwa Majeshi ya Pakistan Kuweka Mambo Sawa katika Eneo Letu.
Filamu ya makala iliyotayarishwa na jarida la Kokludegisim (linalochapishwa na Hizb ut-Tahrir nchini Uturuki) inaangazia mashtaka yasiyo haki ya idara ya mahakama ya Uturuki dhidi ya mashababu wa Hizb ut-Tahrir na ukinzani wa kimahakama katika hukumu zilizotolewa na utawala dhalimu juu yao.
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Video inayowalingania Waislamu kutoka madhehebu na makabila yote, wake kwa waume, vijana kwa wazee, kufanya kazi pamoja na Hizb ut Tahrir kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah.
Sera za Uzayuni na Hindutva zinazoendeshwa na chuki dhidi ya Umma wa Kiislamu zinaendelea bila kusitishwa huku wale wanaojiita walinda amani wa dunia wakiwa ni washirika wao wa kimya kimya.